Nahitaji mwanaume shupavu kwa ajili ya kunilinda kesho kwenye fiesta Dodoma

Nahitaji mwanaume shupavu kwa ajili ya kunilinda kesho kwenye fiesta Dodoma

Wapasua mbao, mawe ,wachimba visima na vibega wengi hapa nchini wanapatikana Dodoma
 
Kesho nahitaj kwenda fiesta maana sijawahi nasikia huwa kuna fujo sana hivyo naogopa kwenda peke yangu.

Nahitaji rafiki atakayenilinda muda wote wakati wa fiesta kwa wale waliopo Dodoma tu malipo 50000.

Njoo pm tuma picha zako mbili sitaki maswali unasubir jibu basi.
Mzigo unagawa pia??
 
Back
Top Bottom