Program Manager
JF-Expert Member
- Aug 6, 2018
- 2,763
- 3,955
Kujishughulisha ndiyo kufanyaje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani uoneni tuu maana mnaonekana mmejiunga strategically kupatana0655177237
Mungu atuunganishe
Umri unanikosesha kigezoNaitwa pepetua nahitaji mwanaume wa kufunga nae ndoa sifa zangu
Dini- mkristo
Miaka-34
Kazi- Mtumishi serikalini
Status- sina mtoto wala sijafunga ndoa
SIFA ZA MWANAUME NIMTAKAYE
Awe mkristo
Anajishughulisha
Asiwe na mke
Ulikuwa unatumikia jela in your 20's?Naitwa pepetua nahitaji mwanaume wa kufunga nae ndoa sifa zangu
Dini- mkristo
Miaka-34
Kazi- Mtumishi serikalini
Status- sina mtoto wala sijafunga ndoa
SIFA ZA MWANAUME NIMTAKAYE
Awe mkristo
Anajishughulisha
Asiwe na mke
Sasi hivi hautaki mrefu, mwenye gari na mapesa ?! Kmmae dawa imekuingia sio. Mtanyooka tu mbona.Naitwa pepetua nahitaji mwanaume wa kufunga nae ndoa sifa zangu
Dini- mkristo
Miaka-34
Kazi- Mtumishi serikalini
Status- sina mtoto wala sijafunga ndoa
SIFA ZA MWANAUME NIMTAKAYE
Awe mkristo
Anajishughulisha
Asiwe na mke
Wanakuwaga majeuri kipindi cha kuhitajika.demu kama unajielewa huwezi kufikisha huo umri hujapata mtu.mbona wadada wengi wanaokuja kutafuta wachumba humu ndan wanakua wakristo,kuna siri gan!
Nimeuliza hivyo kwa sababu matangazo mengi naona sehem ya dini ni mkristo
KIla mwanaJF ana sababu yake/zake zilizomfanya ajiunge na JF. Kama sababu mojawapo kwake ni kutafuta mume, basi acha atafute. Hakuna muda maalumu wa toka kujiunga hadi kuanza kutafuta mwenza..umejiunga JF jana tu leo unatafuta mme
Wengine kinachowafanya wakmbilie kwa wakristo, ni KILE KIAPO cha kuwa na MKE MMOJA WA NDOA HADI KIFO...mbona wadada wengi wanaokuja kutafuta wachumba humu ndan wanakua wakristo,kuna siri gan!
Nimeuliza hivyo kwa sababu matangazo mengi naona sehem ya dini ni mkristo
Nipo dodoma nipo tayari jamani kwa mahusiano ya uchumbaNaitwa pepetua nahitaji mwanaume wa kufunga nae ndoa sifa zangu
Dini- mkristo
Miaka-34
Kazi- Mtumishi serikalini
Status- sina mtoto wala sijafunga ndoa
SIFA ZA MWANAUME NIMTAKAYE
Awe mkristo
Anajishughulisha
Asiwe na mke