Nahitaji Mwanaume wa kufunga naye ndoa

Nahitaji Mwanaume wa kufunga naye ndoa

Naitwa pepetua nahitaji mwanaume wa kufunga nae ndoa sifa zangu
Dini- mkristo
Miaka-34
Kazi- Mtumishi serikalini
Status- sina mtoto wala sijafunga ndoa
SIFA ZA MWANAUME NIMTAKAYE
Awe mkristo
Anajishughulisha
Asiwe na mke
Umri unanikosesha kigezo
 
Sijui nipo ndani yamuda au tayari nishatanguliwa.Mimi nakuhitaji na Mungu akipenda hadi December tuwe tushaifunga.Karibu
 
Naitwa pepetua nahitaji mwanaume wa kufunga nae ndoa sifa zangu
Dini- mkristo
Miaka-34
Kazi- Mtumishi serikalini
Status- sina mtoto wala sijafunga ndoa
SIFA ZA MWANAUME NIMTAKAYE
Awe mkristo
Anajishughulisha
Asiwe na mke
Ulikuwa unatumikia jela in your 20's?
 
Naitwa pepetua nahitaji mwanaume wa kufunga nae ndoa sifa zangu
Dini- mkristo
Miaka-34
Kazi- Mtumishi serikalini
Status- sina mtoto wala sijafunga ndoa
SIFA ZA MWANAUME NIMTAKAYE
Awe mkristo
Anajishughulisha
Asiwe na mke
Sasi hivi hautaki mrefu, mwenye gari na mapesa ?! Kmmae dawa imekuingia sio. Mtanyooka tu mbona.
 
mbona wadada wengi wanaokuja kutafuta wachumba humu ndan wanakua wakristo,kuna siri gan!

Nimeuliza hivyo kwa sababu matangazo mengi naona sehem ya dini ni mkristo
 
mbona wadada wengi wanaokuja kutafuta wachumba humu ndan wanakua wakristo,kuna siri gan!

Nimeuliza hivyo kwa sababu matangazo mengi naona sehem ya dini ni mkristo
Wanakuwaga majeuri kipindi cha kuhitajika.demu kama unajielewa huwezi kufikisha huo umri hujapata mtu.
 
umejiunga JF jana tu leo unatafuta mme
KIla mwanaJF ana sababu yake/zake zilizomfanya ajiunge na JF. Kama sababu mojawapo kwake ni kutafuta mume, basi acha atafute. Hakuna muda maalumu wa toka kujiunga hadi kuanza kutafuta mwenza..
 
mbona wadada wengi wanaokuja kutafuta wachumba humu ndan wanakua wakristo,kuna siri gan!

Nimeuliza hivyo kwa sababu matangazo mengi naona sehem ya dini ni mkristo
Wengine kinachowafanya wakmbilie kwa wakristo, ni KILE KIAPO cha kuwa na MKE MMOJA WA NDOA HADI KIFO...
 
Naitwa pepetua nahitaji mwanaume wa kufunga nae ndoa sifa zangu
Dini- mkristo
Miaka-34
Kazi- Mtumishi serikalini
Status- sina mtoto wala sijafunga ndoa
SIFA ZA MWANAUME NIMTAKAYE
Awe mkristo
Anajishughulisha
Asiwe na mke
Nipo dodoma nipo tayari jamani kwa mahusiano ya uchumba
 
Back
Top Bottom