Umri wangu ni 47Nipo dodoma nipo tayari jamani kwa mahusiano ya uchumba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umri wangu ni 47Nipo dodoma nipo tayari jamani kwa mahusiano ya uchumba
usimkatishe tamaa!Mbona mi nipo 🙂Hakunaga mwanaume serious jf my dear
Hapana, wanaume serious JF wapo..mimi ni mmoja wa wenye ushuhuda nmekutana na mwanaume mzuri sana apa na tunaendelea vizuri sana.Hakunaga mwanaume serious jf my dear
Wapo bhana, acha asake mwenzakoHakunaga mwanaume serious jf my dear
Kashaolewa huyoCarrasco putin finally umepata mke wa kukupikia madikodiko!!
Hi ni re-announced!?Naitwa pepetua nahitaji mwanaume wa kufunga nae ndoa
Sifa zangu:
Dini- mkristo
Miaka-34
Kazi- Mtumishi serikalini
Status- sina mtoto wala sijafunga ndoa
SIFA ZA MWANAUME NIMTAKAYE
Awe mkristo
Anajishughulisha
Asiwe na mke
Utachemsha tambi hadi ukome sasa!Kashaolewa huyo
Jumamosi napata mgeni wa kike embu nipishe huko 😂😂😂😂Utachemsha tambi hadi ukome sasa!
Hatimae ombi langu limekubaliwa,waaaaaaoh muke yanguNaitwa pepetua nahitaji mwanaume wa kufunga nae ndoa
Sifa zangu:
Dini- mkristo
Miaka-34
Kazi- Mtumishi serikalini
Status- sina mtoto wala sijafunga ndoa
SIFA ZA MWANAUME NIMTAKAYE
Awe mkristo
Anajishughulisha
Asiwe na mke
Utakufa huku imesimama nyau wewe sabato yote unafanya matusi!!Jumamosi napata mgeni wa kike embu nipishe huko 😂😂😂😂
Utakufa huku imesimama nyau wewe sabato yote unafanya matusi!!
🤔!!
Utachemsha tambi hadi ukomeeeeeeeeeee!!!mp
Mpka nifieUtakufa huku imesimama nyau wewe sabato yote unafanya matusi!!
🤔!!
Utachemsha tambi hadi ukomeeeeeeeeeee!!!
Mpka nifie juu ya kifua cha mwanamke ndyo roho yangu itulie 🤕🤕Utakufa huku imesimama nyau wewe sabato yote unafanya matusi!!
🤔!!
Utachemsha tambi hadi ukomeeeeeeeeeee!!!
NakuombeaNaitwa pepetua nahitaji mwanaume wa kufunga nae ndoa
Sifa zangu:
Dini- mkristo
Miaka-34
Kazi- Mtumishi serikalini
Status- sina mtoto wala sijafunga ndoa
SIFA ZA MWANAUME NIMTAKAYE
Awe mkristo
Anajishughulisha
Asiwe na mke
Hujataja mwanaume unayemtaka awe na umri gani bibie.Naitwa pepetua nahitaji mwanaume wa kufunga nae ndoa
Sifa zangu:
Dini- mkristo
Miaka-34
Kazi- Mtumishi serikalini
Status- sina mtoto wala sijafunga ndoa
SIFA ZA MWANAUME NIMTAKAYE
Awe mkristo
Anajishughulisha
Asiwe na mke
kama upo serious bibie,Naitwa pepetua nahitaji mwanaume wa kufunga nae ndoa
Sifa zangu:
Dini- mkristo
Miaka-34
Kazi- Mtumishi serikalini
Status- sina mtoto wala sijafunga ndoa
SIFA ZA MWANAUME NIMTAKAYE
Awe mkristo
Anajishughulisha
Asiwe na mke
Mhitaji kuolewa amesema sifa za mme awe Mkristu anayejishughulisha na asiwe na mke. Kama huko ni kuwatenga Waislamu, mbona husemi kwamba wasiojishughulisha na wenye wake wanatengwa? Aidha, kwa nini uainishe Waislamu tu na siyo Mabohora au dini nyingine, na wasio na dini kabisa?Waislamu mbona tunatengwa?