Nahitaji Mwanaume wa kufunga naye ndoa

Nahitaji Mwanaume wa kufunga naye ndoa

Hakunaga mwanaume serious jf my dear
Hapana, wanaume serious JF wapo..mimi ni mmoja wa wenye ushuhuda nmekutana na mwanaume mzuri sana apa na tunaendelea vizuri sana.
Wanaume wazuri bado wapo.
 
Naitwa pepetua nahitaji mwanaume wa kufunga nae ndoa

Sifa zangu:
Dini- mkristo
Miaka-34
Kazi- Mtumishi serikalini
Status- sina mtoto wala sijafunga ndoa
SIFA ZA MWANAUME NIMTAKAYE
Awe mkristo
Anajishughulisha
Asiwe na mke
Hi ni re-announced!?
 
Hatimae ombi langu limekubaliwa,waaaaaaoh muke yangu
 
Utakufa huku imesimama nyau wewe sabato yote unafanya matusi!!
🤔!!
Utachemsha tambi hadi ukomeeeeeeeeeee!!!mp

Utakufa huku imesimama nyau wewe sabato yote unafanya matusi!!
🤔!!
Utachemsha tambi hadi ukomeeeeeeeeeee!!!
Mpka nifie
Utakufa huku imesimama nyau wewe sabato yote unafanya matusi!!
🤔!!
Utachemsha tambi hadi ukomeeeeeeeeeee!!!
Mpka nifie juu ya kifua cha mwanamke ndyo roho yangu itulie 🤕🤕
 
Naitwa pepetua nahitaji mwanaume wa kufunga nae ndoa

Sifa zangu:
Dini- mkristo
Miaka-34
Kazi- Mtumishi serikalini
Status- sina mtoto wala sijafunga ndoa
SIFA ZA MWANAUME NIMTAKAYE
Awe mkristo
Anajishughulisha
Asiwe na mke
Nakuombea
 
Hujataja mwanaume unayemtaka awe na umri gani bibie.
 
Naitwa pepetua nahitaji mwanaume wa kufunga nae ndoa

Sifa zangu:
Dini- mkristo
Miaka-34
Kazi- Mtumishi serikalini
Status- sina mtoto wala sijafunga ndoa
SIFA ZA MWANAUME NIMTAKAYE
Awe mkristo
Anajishughulisha
Asiwe na mke
kama upo serious bibie,

karibu pm.
 
Waislamu mbona tunatengwa?
Mhitaji kuolewa amesema sifa za mme awe Mkristu anayejishughulisha na asiwe na mke. Kama huko ni kuwatenga Waislamu, mbona husemi kwamba wasiojishughulisha na wenye wake wanatengwa? Aidha, kwa nini uainishe Waislamu tu na siyo Mabohora au dini nyingine, na wasio na dini kabisa?
 
Back
Top Bottom