Nahitaji mwanaume wa kunioa, awe na nia ya dhati na mapenzi ya kweli

Nahitaji mwanaume wa kunioa, awe na nia ya dhati na mapenzi ya kweli

Wakati unatafuta wa Moja kwa moja, niweke nipige tempo job basi
 
Mbona umri wako bado ni wa kutafutwa......?......sidhani kama umefikia kutafuta.......tena mtandaoni.......we piga shughuli.......kuwa nadhifu.......watakutafuta tu wenyewe.......

Hapana dunia imebadilika usipojiongeza inakula kwako
 
Mbona umri wako bado ni wa kutafutwa......?......sidhani kama umefikia kutafuta.......tena mtandaoni.......we piga shughuli.......kuwa nadhifu.......watakutafuta tu wenyewe.......

Ukiona hivi ujue the struggle is real out there....
 
Hata vitabu vilitwambia itafika mahala yakuwa wanawake watakuwa wengi kuliko waume sasa ndio wkt sasa
 
Zaa wa kwako huku kumebanana tangu ukiwa mtoto hujapata mwenye sifa kama hizo.
 
Back
Top Bottom