Nahitaji mwanaume wa kunioa, awe na nia ya dhati na mapenzi ya kweli

Nahitaji mwanaume wa kunioa, awe na nia ya dhati na mapenzi ya kweli

Natafuta jimama la kunilea maana nishachoka na maisha ya bongo
 
kama upo tayari kuishi visiwani, ni pm tafadhali!
 
jamani ulikuwa wapi siku zote nakusubiri njoo mmeo niko hapa mama!
 
watu wasipoangalia kwenye hizi ndoa wataoana na vibwengo..
pia kueni makini na watu mnaowekeana promise msiowafahamu kwenye mitandao..
wengine tumeshawazika..
 
Sio nia yangu kukuvunja moyo
but vizuri kuelimishana
huwezi kukutana na 'stranger akawa na 'mapenzi ya dhati'
already

mapenzi huota na kupaliliwa.....hadi yafike hiyo level ya 'mapenzi ya dhati'

now tafuta mtu utakae anza nae safari....mnaanzia urafiki mkijaaliwa mfike huko

Huyu mtu ana busara
Kila post yake niliyoiona INA akili
 
Ni haki yake ngoja aongee

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom