Sio nia yangu kukuvunja moyo
but vizuri kuelimishana
huwezi kukutana na 'stranger akawa na 'mapenzi ya dhati'
already
mapenzi huota na kupaliliwa.....hadi yafike hiyo level ya 'mapenzi ya dhati'
now tafuta mtu utakae anza nae safari....mnaanzia urafiki mkijaaliwa mfike huko
Kama Ebitoke [emoji23]Are you a virgin
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hapo kwenye LAGER ndo umenikosa kwingine kote nipo fit
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Akilijibu hili swali kwakutamka neno"Ndio" natangaza nia na namuhakikishia sigegedi mpaka ndoa.