bint khanga
Member
- Aug 2, 2017
- 8
- 16
Unatafuta mwanaume wa kuoana naye???? Mwanaume wa kukuoa sio kuoana.
Ukipata marioo utalalamika?
Ya mbele? Kuna na ya nyuma au?Bikra ya mbele unayo?
Pole binti khanga. Humu ndani utapata walaghai wa mapenzi hakuna mwanamme alie serious kukuoa wewe.
Kama watafuta magonjwa na msongo wa mawazo wape hiyo nafasi
Sijawahi na sitarajii kutoka na mwanaume wa humu. Natoa tu angalizo vijana wengi wa kiume wa humu hawana maadili na hekima na yote nimeweza kuwajua kwa michango yetu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]huyo mwamba wa humu inaonyesha alikufanya kitu mbaya sana..
Pole sana
Sijawahi na sitarajii kutoka na mwanaume wa humu. Natoa tu angalizo vijana wengi wa kiume wa humu hawana maadili na hekima na yote nimeweza kuwajua kwa michango yetu.
Wanaume wachache sana wanajielewa humu
Sawa kila la kheri kwakeKwenye hao wachache hawezi kukosa acha mwenzio atafute anaakili zake mwenyewe...
Wewe kama huja date na mtu humu ni ngumu kumshauri huyo.
Huwezi kumtambua mtu kwa mchango wake hapa ni ngumu sana
Uwe na siku njema mremboSawa kila la kheri kwake