Nahitaji mwanaume wa kuoana naye

Nahitaji mwanaume wa kuoana naye

bint khanga

Member
Joined
Aug 2, 2017
Posts
8
Reaction score
16
Habari zenu

Kama heading inavyoeleza hapo juu Mimi ni mwanamke mwenye umri Wa miaka 30 nahitaji mume aliyekua serious kuhusu kuingia kwenye ndoa not jokes

Dini yangu ni Muslim, elimu yangu ni diploma nafanyakazi kwenye private company umri Wa m/ume uanzie 30 above

Aliye tayari aje PM for more information asanteni
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]huyo mwamba wa humu inaonyesha alikufanya kitu mbaya sana..

Pole sana
Pole binti khanga. Humu ndani utapata walaghai wa mapenzi hakuna mwanamme alie serious kukuoa wewe.

Kama watafuta magonjwa na msongo wa mawazo wape hiyo nafasi
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]huyo mwamba wa humu inaonyesha alikufanya kitu mbaya sana..

Pole sana
Sijawahi na sitarajii kutoka na mwanaume wa humu. Natoa tu angalizo vijana wengi wa kiume wa humu hawana maadili na hekima na yote nimeweza kuwajua kwa michango yetu.

Wanaume wachache sana wanajielewa humu
 
Kwenye hao wachache hawezi kukosa acha mwenzio atafute anaakili zake mwenyewe...

Wewe kama huja date na mtu humu ni ngumu kumshauri huyo.

Huwezi kumtambua mtu kwa mchango wake hapa ni ngumu sana

Back
Top Bottom