Nahitaji mwanaume wa kuzaa nae

Nahitaji mwanaume wa kuzaa nae

Status
Not open for further replies.
Nahitaji mwanaume wa kunitimizia hili.na pia awe na shida na kama hii pia yaani Nawe anahitaji mtoto.

I have been so lonely,naamini mtoto atakua faraja yangu. Na kunisaidia kuishi Maisha yenye kusudi,na pia atanipa Ari na moral ya kujitafuta zaidi

Kwa upande wangu unaweza kujiuliza Sina mwenza? Ni kweli Sina,sijabahatika kupata mwenza mwenye utu,uelewa na.changamoto ni nyingi sana.siwezi kuelezea zote.

Kwa upande wangu Nina tatizo katika mfumo wangu wa nerve,nimekuwa na disability.mojawapo imenipata ukubwani.so mahusiano na mapenzi,sijui dates mi siwezi,nimezoea kuishi bila mwanaume.

Angalau niwe na mtoto nayo itanisaidia kuleta umaana kwenye Maisha,atakuwa kampani na rafiki kwangu,ndugu pia msaada In the future.

Kwa ufupi nahitaji mtu mwenye nia ya dhati,nae awe na uhitaji huo.
Awe anajishughulisha kujiingiza kipato Kwa shughuli halali
Awe mru mzima anaejielewa na kujua wajibu wake kama baba
Sihitaji mapenzi yako.mapenzi yako yaweke Kwa mtoto
Pesa zako wekeza katika kumtunza mtoto

Mimi Sina kipato,najitafuta na nnachopata ni kidogo.
-naomba malezi ya mtoto yabase kote kwenye pande zote mbili.muda,kujali,nk
- hata ukiingia kwenye mahusiano au ndoa haina tatizo usimsahau mwanao.

Mengine mengi tutajuzana na muhusika

Niko tayari kurekebishwa na kukosolewa kuhusu mawazo yangu.
Hiyo disability ikoje!?
Ya kihisia ama ya akili ama ya kiungo?
 
Kuwajibika kwa malezi ya mtoto ndo anachokitaka mtoa mada hayo ya kuolewa hayataki
Kuwajibika kumtunza mtoto nje ya ndoa, hiyo kitu hutokea kwa bahati mbaya ambapo mume labda ana mke au hamtaki mwanamke ndo husema basi nitamtunza mtoto. Sasa "jembe" unaona huyu "manzi" sio, alafu ujifunge kumzalisha ili utunze mtoto na mama yake huku "njemba wa nje" wakijisevia?? Hakuna kitu kama hicho!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom