Sister Abigail
JF-Expert Member
- Sep 2, 2020
- 2,886
- 9,088
- Thread starter
-
- #21
Ni kweli unenavyo lakini kuwe na makubaliano ama mapatano.Mh huko unakojitafuta hamna wanaume kwani?
Halafu ni rahisi mwanamke kupata mtoto bila mahangaiko yote haya maana suala la kuzaa karibia asilimia zote mwanamke ndo anaruhusu
Naona wakati unaenda.
WeeeeeeeeMi nikisema nije PM huko...
Wanaanza maswali ya ajabu ajabu khaaa ππππ
AsanteNimefarijika kwa kunijibu Sister Abigail, kama ID yangu inavyosoma lengo langu ni hilo, ila maoni yangu nadhani hiyo approach uliyoichagua si njema... Napendekeza upate muda na mtaalamu wa saikolojia.
Hiyo disability ikoje!?Nahitaji mwanaume wa kunitimizia hili.na pia awe na shida na kama hii pia yaani Nawe anahitaji mtoto.
I have been so lonely,naamini mtoto atakua faraja yangu. Na kunisaidia kuishi Maisha yenye kusudi,na pia atanipa Ari na moral ya kujitafuta zaidi
Kwa upande wangu unaweza kujiuliza Sina mwenza? Ni kweli Sina,sijabahatika kupata mwenza mwenye utu,uelewa na.changamoto ni nyingi sana.siwezi kuelezea zote.
Kwa upande wangu Nina tatizo katika mfumo wangu wa nerve,nimekuwa na disability.mojawapo imenipata ukubwani.so mahusiano na mapenzi,sijui dates mi siwezi,nimezoea kuishi bila mwanaume.
Angalau niwe na mtoto nayo itanisaidia kuleta umaana kwenye Maisha,atakuwa kampani na rafiki kwangu,ndugu pia msaada In the future.
Kwa ufupi nahitaji mtu mwenye nia ya dhati,nae awe na uhitaji huo.
Awe anajishughulisha kujiingiza kipato Kwa shughuli halali
Awe mru mzima anaejielewa na kujua wajibu wake kama baba
Sihitaji mapenzi yako.mapenzi yako yaweke Kwa mtoto
Pesa zako wekeza katika kumtunza mtoto
Mimi Sina kipato,najitafuta na nnachopata ni kidogo.
-naomba malezi ya mtoto yabase kote kwenye pande zote mbili.muda,kujali,nk
- hata ukiingia kwenye mahusiano au ndoa haina tatizo usimsahau mwanao.
Mengine mengi tutajuzana na muhusika
Niko tayari kurekebishwa na kukosolewa kuhusu mawazo yangu.
Sawa kila la heriNi kweli unenavyo.lakini kuwe na makubaliano ama mapatano.
Nakosa confidence sasa π₯Ίπ₯Ίπ₯Ίπ₯Ίπ₯ΊWeeeeeeee
Sio kweli.Hata anaewajibika mbona wapo wengi tu sema wengi wanaogopa kubadilikiwa mbeleni huko
ndoman nilsema we mfupi ππππNakosa confidence sasa π₯Ίπ₯Ίπ₯Ίπ₯Ίπ₯Ί
Kuwajibika kumtunza mtoto nje ya ndoa, hiyo kitu hutokea kwa bahati mbaya ambapo mume labda ana mke au hamtaki mwanamke ndo husema basi nitamtunza mtoto. Sasa "jembe" unaona huyu "manzi" sio, alafu ujifunge kumzalisha ili utunze mtoto na mama yake huku "njemba wa nje" wakijisevia?? Hakuna kitu kama hicho!Kuwajibika kwa malezi ya mtoto ndo anachokitaka mtoa mada hayo ya kuolewa hayataki
Hujamuelewa kaka alichomaanisha msome tena.Kuwajibika kwa malezi ya mtoto ndo anachokitaka mtoa mada hayo ya kuolewa hayataki
Usijali wakati kwendaNaona wakati unaenda.
Tena walione hili tangazo bora atafute huo anakoishi wadate ajidakishe mimba amueleze muhusika basi atulie zakeSio kweli.
Wanaume wa siku hizi uwajibikaji kwa watoto ni SIFURI.
Mi sio mfupi bana nakupa vipimo vyangu..πππndoman nilsema we mfupi ππππ
Wewe lini waweka post πΆTena walione hili tangazo bora atafute huo anakoishi wadate ajidakishe mimba amueleze muhusika basi atulie zake