Nahitaji Mwanaume

Nahitaji Mwanaume

Wapendwa habari zenu.

Mimi ni mwanamke mwenye miaka 33, ni mwajiriwa wa sekta binafsi mkoani Rukwa. Mimi ni mkristo na Nina mtoto mmoja. Ninajitokeza kwenu nikiwa nahitaji mwanaume mwenye hitaji kama langu. Awe mkristo mwenye umri kuanzia miaka 33-49, mwenye kipato halali, awe na utayari wa kuwa na familia awe mkweli.

Ikiwa una uhitaji karibu PM
njoo tusogezeane muda asee
 
Vipi kama ana watoto?
 
Baba wa mtoto ni R.I.P au yupo
 
49 Years Dah
Si Veteran kabisa Huyo
Yani sio Brother tena
Ni Mdingi Fulani hv
Hatari sana.
 
Back
Top Bottom