Kalaga Baho Nongwa
JF-Expert Member
- Sep 27, 2020
- 9,953
- 23,150
Wakuu kwema? Mm sijambo
Nilikuwa natafuta scientific reason ya kubadili mawazo yangu ya kupeleka biashara maeneo ya kusini na kuchagua eneo jipya la kupeleka biashara.
Mpango wa biashara ni kucheza na minada mbalimbali utakaoanza kutekelezwa mwanzon mwa mwezi wa kwanza. Ninafikiria kupeleka morogoro n maeneo yenye idadi kubwa ya watu ndio nimeyapendekeza kwenda kukomaa nayo.
Maeneo hayo ni pamoja na Mvomero, Kilosa na morogoro mjini.
Ninaomba wenyeji wa mazingira hayo tutete kidogo, tuendelee kusapotiana wazee hata kwa information tu mana hapa ndo nyumbani. Kuna watu tuna ndugu humu japo hatufanani nao majina