Kalaga Baho Nongwa
JF-Expert Member
- Sep 27, 2020
- 9,953
- 23,150
Ziko wilaya gan mkuu hiyo tuliani nahiyo dumilaMimi sio mwenyeji mkuu ila katika pitapita zangu niliona turiani pako vizuri na pamoja na dumila
Kwa nn ngumu mkuu? Nataka kufanya minadaniBiashara Moro ni ngumu sana
Mvomero,kilosaZiko wilaya gan mkuu hiyo tuliani nahiyo dumila
Mbona muuza kuku wa kienyeji yupo humu na anataka wateja. Unataka kuku wangapiNataka kuku wa kienyeji huko
Sawa mkuu, shukranMvomero,kilosa