Nahitaji mwenye gari binafsi inayokwenda Bukoba sasa hivi

LDA COMPANY

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
340
Reaction score
622
Za muda huu wakuu,

Naomba kuuliza kama kuna mtu anasafiri muda huu kutoka Dar kwenda Bukoba na anaweza kufika kesho by saa mbili asubuhi, kama yupo anambie tupo wawili tutalipa nauli kama kawaida lengo ni kuwahi tufike kesho by saa mbili asubuhi.
 
Yani unaombA ??na unapanga speed yako ??eti by saa mbili uwe umefika!!! Uko sawa kweli??? !!!
 
Za muda huu wakuu,

Naomba kuuliza kama kuna mtu anasafiri muda huu kutoka Dar kwenda Bukoba na anaweza kufika kesho by saa mbili asubuhi, kama yupo anambie tupo wawili tutalipa nauli kama kawaida lengo ni kuwahi tufike kesho by saa mbili asubuhi.
Umechelewa ungalikwenda juzi kabla ya mechi ili uisaidie simba. Sasa unapoteza muda maana ishafungwa
 
beba begi lako muda huu....fika ubungo pale mbele ya kibo nafikiri panaitwa rombo....panda IT pale za Rwanda.... kifupi ukifika pale umefika Bukoba.
Akifika pale au akipata gari ya sahizi pale😅
 
Dah nimekuacha aise naitafuta manyoni sahivi ungesema tangu saa 1
 
yaani akifika pale amefika kila kona ya nchi hii na baadhi ya nchi za nje... wapo wakali wa danta pale uwe na mkwanja tu....
Wakati kuna zile za hakuna kulala.ila risk ni kubwa sana.wale watu wanakimbiaga sana.wenyewe wanasema wanalalaga kwenye basi wakati wa kurudi.

Pia jaribu ile ya magazeti.ila sijui kama iko ya bukoba maana wahaya watakwambia wao hawasomagi local newspeper, wanasomaga the dailymail na financial times tu linakuja kwa ndege
 
beba begi lako muda huu....fika ubungo pale mbele ya kibo nafikiri panaitwa rombo....panda IT pale za Rwanda.... kifupi ukifika pale umefika Bukoba.
Hata apate IT, kwa muda huo hawezi kuwa bk kesho saa mbili!!kwani IT, Hazifiki bk zitamuacha njia panda ya biharamulo, hapo hadi bk, inakuwaje?hapo ni ndege tu, afike mwanza aanze kuunga unga ndio aweze kuamkia bk.

Back
Top Bottom