Nahitaji mwenza

Nahitaji mwenza

Poleni na Shughuli za siku wana JF,

Nimekuja nikiwa na uhitaji wa kupata mwenza Mwanaume. Mwenye uhitaji na mahusiano aliechoka kua mpweke kama mimi.

Awe mwanaume mwenye umri kuanzia miaka 32 na kuendelea.
Awe anajishughulisha na shughuli halali.
Mwenye hofu ya Mungu.
Asiwe mtumiaji wa kileo,na mambo yanayofanana na ayo.
Awe Mkristo, Akiwa Mpentecoste(na yakufanana na ayo itakua vizuri).
Ni sawa akiwa na mtoto maana na mimi nina mtoto mmoja.

Mimi ni mwanamke wa miaka 30, Ni mama wa binti mmoja.
Nmeajiliwa(private sector) Ninaishi Dar es salaam.
Ninampenda Mungu, Nimekua mpweke kwa mda mrefu sasa.
Karibu Pm.

Ahsante.
Kama sio bikra kamfuate aliekutoa ubikra ukawe mwenza wake
 
Molina.

JF hapa kuna watu wa kila aina. Hata vijana wa hovyo wapo. Na kuna bullying hapa dhidi ya single mothers. Ni kundi la watu ambao pengine ndiyo linaongoza kwa kudhihakiwa, kubezwa na kutukanwa hapa. Usivunjike moyo.

Mungu huyo unayemtegemea na kumwabudu ni Mungu wa "second chances". Usijione hufai kwa vile eti una mtoto. Wekeza kwako. Tafuta pesa ili uondokane na maisha ya kuishi kwa kutegemea kudra za mwanaume. Jipende sana wewe na huyo malaika wako; huku ukiendelea kumuomba Mungu. Usitumike hovyo hovyo na wanaume. Utunze mwili wako...na siku moja Mungu Atakuletea mwanaume atakayekupenda na kukuheshimu.

Zingatia ushauri huu tafadhali!🙏🏿
 
Mimi ni mwanamke wa miaka 30, Ni mama wa binti mmoja
Kuwa single mother haina maana kwamba huwezi kupata mwenza wa kufanana na wewe. Ni kweli kuna "changamoto" za kuoa single mother hasa hasa kama "baba" wa mtoto yupo.
Lakini, yaliyopita yamepita, hakuna mtu asiyekuwa na jana, hakuna asiyekuwa na "historia" iwe nzuri au mbaya.
Muhimu ni kuishi kwa kuangalia yajayo na sio kuishi kwa kuangalia yaliyopita. Yaliyopita yatabakia kama "somo" ili kesho iwe bora zaidi kwa kutokurudia makosa ya jana.

Wanaume wenzangu hebu tuache kuwananga na kuwaponda "single mothers" kama vile hizo mimba walijipa wenyewe wakati miongoni mwetu sisi ndiyo chanzo au moja ya sababu ya wao kuwa "single mothers".

Well, may be miongoni mwa Wanawake wapo ambao kwa hiari yao au kwa kiburi au kwa ujinga wamekuwa single mothers lakini bado hatupaswi kuwaweka wote ndani ya kapu moja la "wakosaji" au "watu wasiofaa".

Ndege wa rangi moja huruka pamoja. Nina imani Molina utampata wa kufanana na wewe iwe humu JF (which I likely doubt) au iwe nje ya JF , yote heri.

Binafsi siwezi kuoa "single mother", lakini, kisichonifaa mimi kinamfaa mwingine. Wazungu wana kamsemo kao; "One man's trash is another man's treasure".
 
Muoe wewe mkuu
 
Kufarijiana huku si kuzuri. Mme wake kama yupo hai aongee nae warudiane. Hawa watu mbona mnawapa maneno ya kulemba hivi.? Wa kufanana nae yupi huyo? Ameshazaa,,,ana mume huyo. Awe amepatwa na umauti lakini tofauti na hapo, hapana. Niliona mmoja akimsumbua sana ndugu yangu. Baadae wanaanza kukaa kwa huruma huruma hivi. Akghaaa!
 
Njooo mm natak tuu nikupige show sio kuoana mama
 
Poleni na Shughuli za siku wana JF,

Nimekuja nikiwa na uhitaji wa kupata mwenza Mwanaume. Mwenye uhitaji na mahusiano aliechoka kua mpweke kama mimi.

Awe mwanaume mwenye umri kuanzia miaka 32 na kuendelea.
Awe anajishughulisha na shughuli halali.
Mwenye hofu ya Mungu.
Asiwe mtumiaji wa kileo,na mambo yanayofanana na ayo.
Awe Mkristo, Akiwa Mpentecoste(na yakufanana na ayo itakua vizuri).
Ni sawa akiwa na mtoto maana na mimi nina mtoto mmoja.

Mimi ni mwanamke wa miaka 30, Ni mama wa binti mmoja.
Nmeajiliwa(private sector) Ninaishi Dar es salaam.
Ninampenda Mungu, Nimekua mpweke kwa mda mrefu sasa.
Karibu Pm.

Ahsante.
Pole sana kwa upweke na hongera zaidi kwa upekee
Unajua unachokihitaji na muda(umri ) pia umeuzingatia
Jipe muda zaidi wa kuwafahamu vizur watakaokuja kwako,usihofu kumwambia mtu asuburi kwanza wakati ukiendelea na UEFBI wako maana unataka kilicho Bora na kusahihisha makosa uliyoyapitia
Usistuliwe na na mali za watu
Achana na funguo mkononi ,ukubwa wa vichuguu vyao Wala mwonekano wa ,walivyo wachache sana walio halisi

Zingatia kuolewa na akili njema ambayo vyote unavyovitaka (furaha) vitapatikana

Nina uhakika hata wewe hujivunii Tako,rangi au mwonekano wako bali akili na uzoefu ulionao kwenye maisha Yako....
Nakutakia safari njema yenye mafanikio tele,usikose kunialika kwenye HARUSI Yako iliyo karibu
MUNGU AKUTANGULIE
 
Poleni na Shughuli za siku wana JF,

Nimekuja nikiwa na uhitaji wa kupata mwenza Mwanaume. Mwenye uhitaji na mahusiano aliechoka kua mpweke kama mimi.

Awe mwanaume mwenye umri kuanzia miaka 32 na kuendelea.
Awe anajishughulisha na shughuli halali.
Mwenye hofu ya Mungu.
Asiwe mtumiaji wa kileo,na mambo yanayofanana na ayo.
Awe Mkristo, Akiwa Mpentecoste(na yakufanana na ayo itakua vizuri).
Ni sawa akiwa na mtoto maana na mimi nina mtoto mmoja.

Mimi ni mwanamke wa miaka 30, Ni mama wa binti mmoja.
Nmeajiliwa(private sector) Ninaishi Dar es salaam.
Ninampenda Mungu, Nimekua mpweke kwa mda mrefu sasa.
Karibu Pm.

Ahsante.
Sawa
 
Back
Top Bottom