Nahitaji ndoa ya uke wenza



Mwenyezi Mungu akujaalie haja ya moyo wako insha'alah.
 

Nimekuelewa sana tu dear, ila uke wenza hapana acha tu niwe mbinafsi katika hili, na hii kwamba wanawake hawana ndoa sababu ya uchache wa wanaume mmh, tunaona daily wakaka mitaani hata on social networks wanavotafuta wachumba, sasa si wangekua tayari wameshawahiwa huko. Mi naamini kila mtu ana waubavu wake bana.

Hongera kwa moyo huo hadi wake wenza 4?, kwahiyo kuna zamu, unajua tu mume wangu yuko kwa bimdogo zamu yake aarh hapanaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dada mbona umeushupalia uzi kama wa kwako vile, ukisema una hofu ya Mungu tunategemea utakuwa na matendo ya ki-Mungu ikiwemo kujiepusha na zinaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Ww jiulize mke wa mtu usiku huu kwenye nyuzi huku kafata nn asohudumia ndoa yake ohhhh hivi kasema wapo wangapi tena #zamu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],,,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimependa kimoja tu...una hofu na Mungu

MTU mmoja alinambia wanawake wa kiislam , ni waaminifi mnoo

Nahii NI sababu ya mkazo mzito unaopatikana ktk.malezi yao.


Huku kwetu, Dhambi inatengenezewa mazingira ya kuonekana ni nyepesi nyepesi nakitu cha kawaida.


Utapata hitaji lako mkuu
 
Muda unakimbia sana Joooh
 
Babe umefuata nini kwenye huu uzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…