Ushimen
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 40,828
- 99,523
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
.....teh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yalaaah, ushafika umeouona[emoji849] ,please fumba macho hivo hivo pita hivi. .
Sent using Jamii Forums mobile app
Usizungumze usilolijua mm mbona ni mke wa Kwanza na nimekaribisha wenzangu wanne? Ni kiasi cha kumshiba MUUMBA tu na kua na Subra katika ndoa na Mume akiwa muadilifu wala hakuna shida katika ukewenza
[emoji3][emoji3], ni huyu Ushimen mkuu ila simuamini nahisi atafanyia kazi ombi la huyu mleta uzi, so kabla sijawa na mke mwenza,ngoja namuacha mapemaa, njoo tu babe Radicals tuyajenge jimbo lipo wazi[emoji3]Babe wako ni nani financial services coz hiyo chance nilikuwa naihitaji me, dah, yaani ushakuwa occupied. Nimeumia sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo kwa mumeo mko watano?Usizungumze usilolijua mm mbona ni mke wa Kwanza na nimekaribisha wenzangu wanne? Ni kiasi cha kumshiba MUUMBA tu na kua na Subra katika ndoa na Mume akiwa muadilifu wala hakuna shida katika ukewenza
Naona umehofia kupanda cheo kwa kuletewa mke mwenzio eehhhh....[emoji23][emoji23]
Dada mbona umeushupalia uzi kama wa kwako vile, ukisema una hofu ya Mungu tunategemea utakuwa na matendo ya ki-Mungu ikiwemo kujiepusha na zinaaMda mwingine ni busara kuficha ujinga wako, kweli ata wapumbavu nao wanazeeka
Assalaam Alaykum!
Mm ni mwanamke wa Kiislam umri
(30),Sijawahi Kuolewa na wala sina mtoto
Nahitaji Mume Mwenye Sifa hizi:-
Awe Muislam,
Awe yuko ndani ya Ndoa tayari,
Umri kuanzia 35-50,
Awe anajiweza mwenye kipato,
Nahitaji Mume sharti awe ameshaoa nahitaji (UKEWENZA) niwe mke wa pili, watatu na wa nne kikubwa awe Muislam,Mwenye hofu ya ALLAH SWT na-Muadilifu,
N.B NAOMBA KUTILIA UZITO lazma awe ameshaoa kwasababu ya nature ya kazi yangu Safari za hapa na pale ivyo akiwa hajaoa ntamueka kwenye hatari kubwa ya UCHAFU-ZINAA kwa kuogopa dhima hiyo mbele ya ALLAH SWT ntakapokua safarini najua atakua salama katika zamu za WAKEWENZA wenzangu,
Alie serious na Mwenye sifa hizo tafadhali naomba aje (in-box),
Wabillah Tawfiq!
Usiwe m'binafsi hutaki ukewenza Wanawake wengi huko mtaan hawana Ndoa, na wanahitaji stara, kuliko Mume akazini huko nje na kuongeza list ya vimada si bora aoe tu apate thawabu na astiri Wanawake wenzetu,
Anaonekana ana hofu ya MUUMBA na anajilinda ndio maana ameogopa asije mtia dhima huyo atakaekua mume wake ndio maana ametaka hivi,nimemuelewa sana huyu dada
Mm ni mke wa kwanza Bahati mbaya Mume wangu ana wake wanne tayari ila MWENYEZI MUNGU atakupatia Mume mwema dear
Ndio, kwa sababu amesema amekaribisha wenzie wanne maana yake ye wa tano
Si mchezo kupanda cheo mkuu, tena vi bimdogo vinakua vijeuri hivo, full kuloweka nguo zote ili usirudi kwa bimkubwa,utashinda na msuli tu humo ndani no kutoka[emoji3][emoji3]Naona umehofia kupanda cheo kwa kuletewa mke mwenzio eehhhh....[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ww jiulize mke wa mtu usiku huu kwenye nyuzi huku kafata nn asohudumia ndoa yake ohhhh hivi kasema wapo wangapi tena #zamu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],,,Dada mbona umeushupalia uzi kama wa kwako vile, ukisema una hofu ya Mungu tunategemea utakuwa na matendo ya ki-Mungu ikiwemo kujiepusha na zinaa
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ww jiulize mke wa mtu usiku huu kwenye nyuzi huku kafata nn asohudumia ndoa yake ohhhh hivi kasema wapo wangapi tena #zamu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],,,
Sent using Jamii Forums mobile app
Muda unakimbia sana JooohMuda ushatimia,
Vitabu vitakatifu vilishasema itafika mahali wanawake watatuomba tu hata waitwe majina yetu ili kuwasitiri.
Sasa hivi ndoa inaombwa na wanawake wenyewe wakati zamani waliringa na kuhitaji 6 pack,mrefu,maji ya kunde,mwenye gari kali na nyumba.
Ngoja muda uzidi kusogea tu tutaelewana tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Babe umefuata nini kwenye huu uziNimependa kimoja tu...una hofu na Mungu
MTU mmoja alinambia wanawake wa kiislam , ni waaminifi mnoo
Nahii NI sababu ya mkazo mzito unaopatikana ktk.malezi yao.
Huku kwetu, Dhambi inatengenezewa mazingira ya kuonekana ni nyepesi nyepesi nakitu cha kawaida.
Utapata hitaji lako mkuu