Rufiji dam
JF-Expert Member
- Feb 20, 2020
- 4,107
- 9,671
Hawajui wanaume...kuna mtu ana wake wanne ila kila siku macho juu juu kama konda wa daladala. Kaninyima fursa angekuwa mke wangu ila mimi mambo ya kuoa wanawake wawili siwezi kbs.Mungu saidia babe wangu asiuone huu uzi aisee, mambo ya uke wenza tena duh, dada hizo safari ndyo zinakufanya usiwe na wivu hata kidogo,vipi na wewe ukiwa huko safarini sasa utakua salama pia?,ila kila rakheri.
Acha kushadadia yasiyo kuhusu sio kila kitu kuchangia mengine usiyo na elimu nayo unayaacha yakupite, hiyo ni typing error kwa MUISLAM yoyote anaelewa hilo kwani ww hua ukosei? Naona kila sehem unacomment kwa kumdhihaki dada wa watu wala haipendezi kumnanga mwanamke mwenzio, Wanawake kwa Wanawake tunapokosea tunarekebishana nasio kushikilia bango alipokosea mwenzio. Isife mahali tubadilike
IiiWw chekaa mwenzio kasema keshapokea wenzie wanne inamaana jumla wapo 5 lazima apagawe [emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Acheni kumdhihaki dada wa watu jamani mbona mnatafsiri bila kujiongeza mnapaswa kua Positive ili ata katika fikra zenu muweze kufikiri in a positive way ni wazi kabisa alimaanisha kua kapokea wake wenzie watatu nayeye jumla wako wanne Kama QUR AN ilivyosema me mbona nimemuelewa vizuri.
Ma Shaa Allah!Assalaam Alaykum!
Mm ni mwanamke wa Kiislam umri
(30),Sijawahi Kuolewa na wala sina mtoto
Nahitaji Mume Mwenye Sifa hizi:-
Awe Muislam,
Awe yuko ndani ya Ndoa tayari,
Umri kuanzia 35-50,
Awe anajiweza mwenye kipato,
Nahitaji Mume sharti awe ameshaoa nahitaji (UKEWENZA) niwe mke wa pili, watatu na wa nne kikubwa awe Muislam,Mwenye hofu ya ALLAH SWT na-Muadilifu,
N.B NAOMBA KUTILIA UZITO lazma awe ameshaoa kwasababu ya nature ya kazi yangu Safari za hapa na pale ivyo akiwa hajaoa ntamueka kwenye hatari kubwa ya UCHAFU-ZINAA kwa kuogopa dhima hiyo mbele ya ALLAH SWT ntakapokua safarini najua atakua salama katika zamu za WAKEWENZA wenzangu,
Alie serious na Mwenye sifa hizo tafadhali naomba aje (in-box),
Wabillah Tawfiq!
Sawa positive Lady,wa kujiongeza. Mchana mwemaaAcheni kumdhihaki dada wa watu jamani mbona mnatafsiri bila kujiongeza mnapaswa kua Positive ili ata katika fikra zenu muweze kufikiri in a positive way ni wazi kabisa alimaanisha kua kapokea wake wenzie watatu nayeye jumla wako wanne Kama QUR AN ilivyosema me mbona nimemuelewa vizuri.
Badilikeni wala haipendezi
Mkuu, naomba unishauri jambo moja hapa.Ma Shaa Allah!
Nimekuelewa Sana, katika Dunia ya sasa Wanawake kama nyinyi mko wachache Sana yaan hadi raha kweli hof ya MWENYEZI MUNGU ikiwepo mambo hua ni mepesi Sana, nakuombea kwa
MWENYEZI MUNGU akufanyie wepesi mpenz, utampata Mume Mwenye Sifa hizo!
Bora umuache, uje kwangu babe! Haiwezekani miss wewe akuletee mke mwenza. Karibu sana kwangu, mimi upo peke yako, na sitaongeza abadan.
Thank you babe, ndyo nishahamia hivo nipokee [emoji7]Bora umuache, uje kwangu babe! Haiwezekani miss wewe akuletee mke mwenza. Karibu sana kwangu, mimi upo peke yako, na sitaongeza abadan.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ungeweza kuficha ujinga wako ingekuwa busara zaidiMda mwingine ni busara kuficha ujinga wako, kweli ata wapumbavu nao wanazeeka
Hahahaaa. LolMasha'Allah! Mpo wapi kama nyie!
Kwanini usiitue hiyo "dunia"? Haibebeki ujue ukhuty...walishindwa wahenga na wahenguziSina hata hamu napo dunia nimeitia mgongoni dada sijui nitatuliwa na nani
Shadeeya
Yaan wew acha tu nitajitahidi niitue mzima lknKw
Kwanini usiitue hiyo "dunia"? Haibebeki ujue ukhuty...walishindwa wahenga na wahenguzi