Rufiji dam
JF-Expert Member
- Feb 20, 2020
- 4,107
- 9,671
Hawajui wanaume...kuna mtu ana wake wanne ila kila siku macho juu juu kama konda wa daladala. Kaninyima fursa angekuwa mke wangu ila mimi mambo ya kuoa wanawake wawili siwezi kbs.Mungu saidia babe wangu asiuone huu uzi aisee, mambo ya uke wenza tena duh, dada hizo safari ndyo zinakufanya usiwe na wivu hata kidogo,vipi na wewe ukiwa huko safarini sasa utakua salama pia?,ila kila rakheri.
Sent using Jamii Forums mobile app