Nahitaji ndoa ya uke wenza

Karibu dada njoo inbox
 
Wa alykum salam

Kwa sifa ulizoziainisha binafsi ninazo

Ni muislam
Nimejiajir ( najitegemea)
Umri wangu ni miaka 35
Nina mke

Nimekutumia pm nicheki tuongee zaid. Tukionana nikikupenda na ukinipenda tutayajenga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila cha ajabu kuna wanaume wapo single yaani hawana hata wa kuegesha, huku kuna wanawake wanamiliki wanaume zaidi ya wawili. Wanataka hadi kutoana roho.
Sasa hao waliopo single na wana umri mkubwa watakuwa na matatizo yao
 
Hahahahaahahahahahaha
 
Nashindwa kuamini kitu kimoja kutoka kwako, hivi huko mtaani au ofisini hakuna wenye sifa hizo mpaka umekuja huku .
Maana kwa mwandiko inaonekana ni type ya rarely women yaani una vigezo vyote vya kukimbiliwa naomba uniambie imekuaje Muslimina 1
 
Reactions: amu
Sema unatafuta cheti cha ndoa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…