Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Ndio uachage kuweka Loudspeaker. 😀😀😀Naongea na simu dada khaa hii messeg imefik huku kumbe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio uachage kuweka Loudspeaker. 😀😀😀Naongea na simu dada khaa hii messeg imefik huku kumbe
Mdogo wa mie ushaanza. 😀Raha ya umbea tukae jamvini nihabarishe dada
😂😂😂😂nimecheka km chiziNdio uachage kuweka Loudspeaker. 😀😀😀
Ndio. 😂😂😂😂😂😂nimecheka km chizi
Ngoja nije chap unihabarishe za motomotoNdio. 😂😂
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mda mwingine ni busara kuficha ujinga wako, kweli ata wapumbavu nao wanazeeka
Ni kweli kabisa, wenzetu kidogo wanazingatia suala la malezi na wana mkazo na suala la umuhimu wa familia. Ndio maana ni nadra kukuta mwanaume wa kiislamu yuko 30's na hajaoa.Nimependa kimoja tu...una hofu na Mungu
MTU mmoja alinambia wanawake wa kiislam , ni waaminifi mnoo
Nahii NI sababu ya mkazo mzito unaopatikana ktk.malezi yao.
Huku kwetu, Dhambi inatengenezewa mazingira ya kuonekana ni nyepesi nyepesi nakitu cha kawaida.
Utapata hitaji lako mkuu
I think its a typing error.
Umefanya nicheke. LolNgoja nije chap unihabarishe za motomoto
Hahaa hatari hii uende pm?, ukienda usirudi huku[emoji3][emoji3] oa huyo huyoNimeshaona mama, wacha nizame Piemu nikamsabahi..Kama unavyojua mwislamu ndugu yake muislamu [emoji23][emoji23][emoji23]
Nimepata babe mpya asopenda mambo ya wake wengi kama wewe[emoji3]Eti eeh [emoji38]
Kumbe, lakini tunajuaje bila kuambiwa na yeye mwenyewe? Inawezekana wako watano kweli, huwenda kuna walioachika wakawa replaced, au mmoja alifariki akaoa tena?I think its a typing error.
Kumbe huyu ni mumeo?Hahaa hatari hii uende pm?, ukienda usirudi huku[emoji3][emoji3] oa huyo huyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo anakuongopea tu, hebu rudisha kongoro zako hizo upesi kabla sijakukamatia chini 😂😂😂Nimepata babe mpya asopenda mambo ya wake wengi kama wewe[emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Bas mama siendi tena jamani 😍Hahaa hatari hii uende pm?, ukienda usirudi huku[emoji3][emoji3] oa huyo huyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah hii fursa imenipita 😂Assalaam Alaykum!
Mm ni mwanamke wa Kiislam umri
(30),Sijawahi Kuolewa na wala sina mtoto
Nahitaji Mume Mwenye Sifa hizi:-
Awe Muislam,
Awe yuko ndani ya Ndoa tayari,
Umri kuanzia 35-50,
Awe anajiweza mwenye kipato,
Nahitaji Mume sharti awe ameshaoa nahitaji (UKEWENZA) niwe mke wa pili, watatu na wa nne kikubwa awe Muislam,Mwenye hofu ya ALLAH SWT na-Muadilifu,
N.B NAOMBA KUTILIA UZITO lazma awe ameshaoa kwasababu ya nature ya kazi yangu Safari za hapa na pale ivyo akiwa hajaoa ntamueka kwenye hatari kubwa ya UCHAFU-ZINAA kwa kuogopa dhima hiyo mbele ya ALLAH SWT ntakapokua safarini najua atakua salama katika zamu za WAKEWENZA wenzangu,
Alie serious na Mwenye sifa hizo tafadhali naomba aje (in-box),
Wabillah Tawfiq!
😀Nashukuru kwa mawazo yako!
Wala siogopi hilo kwakua ALLAH SWT ndio kaamrisha, nimefanya ivo kama nilivyofafanua hapo juu mm ni mtu wa safari na sitaki kumpa dhima ya Uchafu-Zinaa ivo mda ambao niko safari anakua na WENZANGU na ata nikiwa wapili ntamruhusu aoe watatu na wanne pia as long as uwezo wa hali zote wanao
Assalaam Alaykum!
Mm ni mwanamke wa Kiislam umri
(30),Sijawahi Kuolewa na wala sina mtoto
Nahitaji Mume Mwenye Sifa hizi:-
Awe Muislam,
Awe yuko ndani ya Ndoa tayari,
Umri kuanzia 35-50,
Awe anajiweza mwenye kipato,
Nahitaji Mume sharti awe ameshaoa nahitaji (UKEWENZA) niwe mke wa pili, watatu na wa nne kikubwa awe Muislam,Mwenye hofu ya ALLAH SWT na-Muadilifu,
N.B NAOMBA KUTILIA UZITO lazma awe ameshaoa kwasababu ya nature ya kazi yangu Safari za hapa na pale ivyo akiwa hajaoa ntamueka kwenye hatari kubwa ya UCHAFU-ZINAA kwa kuogopa dhima hiyo mbele ya ALLAH SWT ntakapokua safarini najua atakua salama katika zamu za WAKEWENZA wenzangu,
Alie serious na Mwenye sifa hizo tafadhali naomba aje (in-box),
Wabillah Tawfiq!
[/QUO
Mtamvunja mgongo 😁
Ndio maana nimeandika "i think"Kumbe, lakini tunajuaje bila kuambiwa na yeye mwenyewe? Inawezekana wako watano kweli, huwenda kuna walioachika wakawa replaced, au mmoja alifariki akaoa tena?
Sent using Jamii Forums mobile app