financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 17,776
- 42,402
Alikua mume ila sahivi simtaki mimi, ananambia live kabisa anamfata pm mleta uzi arghh[emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alikua mume ila sahivi simtaki mimi, ananambia live kabisa anamfata pm mleta uzi arghh[emoji3]
Daah, kumbe unaweza kujikuta upo kwenye ukewenza bila kujuaAlikua mume ila sahivi simtaki mimi, ananambia live kabisa anamfata pm mleta uzi arghh[emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Yupo real hadanganyi kama wewe. Byee mfate mleta uzi tu, ndukiii.Huyo anakuongopea tu, hebu rudisha kongoro zako hizo upesi kabla sijakukamatia chini [emoji23][emoji23][emoji23]
Usinambie nawewe na babe wako? Aisee Extrovert njoo hapaa. Kumbe ukewenza inawezekana bila kutarajia[emoji3]
Dah sina la kusema mimiUsinambie nawewe na babe wako? Aisee Extrovert njoo hapaa. Kumbe ukewenza inawezekana bila kutarajia[emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Sheikh unatafuta balaaa! Hawa kwa wengine?!Wapo sheikh!
Believe me wapo
Jamani bebi ndio nini hiki 😆 ayo mambo tuwaachie mpirani...Mi nawewe ni kama Kola na Tai
Mamsap huyo mtani wangu tu, sie twatokea kanda moja. Usiwe na wasiwasi bebilav 😍
Ukioa wake wanne ndio Guarantee wa kutofanya zinaa nje?Usiwe m'binafsi hutaki ukewenza Wanawake wengi huko mtaan hawana Ndoa, na wanahitaji stara, kuliko Mume akazini huko nje na kuongeza list ya vimada si bora aoe tu apate thawabu na astiri Wanawake wenzetu,
Anaonekana ana hofu ya MUUMBA na anajilinda ndio maana ameogopa asije mtia dhima huyo atakaekua mume wake ndio maana ametaka hivi,nimemuelewa sana huyu dada
Mm ni mke wa kwanza Bahati mbaya Mume wangu ana wake wanne tayari ila MWENYEZI MUNGU atakupatia Mume mwema dear
Una uhakika waliooa wake wawili au wanne hawachepuki kabisa?Assalaam Alaykum!
Mm ni mwanamke wa Kiislam umri
(30),Sijawahi Kuolewa na wala sina mtoto
Nahitaji Mume Mwenye Sifa hizi:-
Awe Muislam,
Awe yuko ndani ya Ndoa tayari,
Umri kuanzia 35-50,
Awe anajiweza mwenye kipato,
Nahitaji Mume sharti awe ameshaoa nahitaji (UKEWENZA) niwe mke wa pili, watatu na wa nne kikubwa awe Muislam,Mwenye hofu ya ALLAH SWT na-Muadilifu,
N.B NAOMBA KUTILIA UZITO lazma awe ameshaoa kwasababu ya nature ya kazi yangu Safari za hapa na pale ivyo akiwa hajaoa ntamueka kwenye hatari kubwa ya UCHAFU-ZINAA kwa kuogopa dhima hiyo mbele ya ALLAH SWT ntakapokua safarini najua atakua salama katika zamu za WAKEWENZA wenzangu,
Alie serious na Mwenye sifa hizo tafadhali naomba aje (in-box),
Wabillah Tawfiq!
Hamna dia its okay to get your baby excited. It enriches the love feelingUsinambie nawewe na babe wako? Aisee Extrovert njoo hapaa. Kumbe ukewenza inawezekana bila kutarajia[emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mda mwingine ni busara kuficha ujinga wako, kweli ata wapumbavu nao wanazeeka
Hahahaha wewe ndo nimekuelewa!Thread zingine, waweza kupiga pc chini ivunjike!
Mwenyezi Mungu akupe hitaji la moyo.. INSHALLAH.Assalaam Alaykum!
Mm ni mwanamke wa Kiislam umri
(30),Sijawahi Kuolewa na wala sina mtoto
Nahitaji Mume Mwenye Sifa hizi:-
Awe Muislam,
Awe yuko ndani ya Ndoa tayari,
Umri kuanzia 35-50,
Awe anajiweza mwenye kipato,
Nahitaji Mume sharti awe ameshaoa nahitaji (UKEWENZA) niwe mke wa pili, watatu na wa nne kikubwa awe Muislam,Mwenye hofu ya ALLAH SWT na-Muadilifu,
N.B NAOMBA KUTILIA UZITO lazma awe ameshaoa kwasababu ya nature ya kazi yangu Safari za hapa na pale ivyo akiwa hajaoa ntamueka kwenye hatari kubwa ya UCHAFU-ZINAA kwa kuogopa dhima hiyo mbele ya ALLAH SWT ntakapokua safarini najua atakua salama katika zamu za WAKEWENZA wenzangu,
Alie serious na Mwenye sifa hizo tafadhali naomba aje (in-box),
Wabillah Tawfiq!
Wee ni kahuni tu,sikutakii[emoji57]Hamna dia its okay to get your baby excited. It enriches the love feeling
Dada hujanijibu bado umekwamia wapi nikufate chapUmefanya nicheke. Lol