Nahitaji ndoa ya uke wenza

Nahitaji ndoa ya uke wenza

Wapo sheikh!

Believe me wapo
Sheikh unatafuta balaaa! Hawa kwa wengine?!

Miongoni mwa rafiki yangu alinisimulia miongoni mwa misikiti ya mji wa Madina muitikio wa waumini kwa swala ya asubuhi ulikuwa mdogo. Imam wa huo msikiti akatangaza kuwa mke wako asipokuamsha kuja kuswali swala ya subhi ongeza mke mwengine.

Kesho yake watu nyomi msikitini swala ya asubuhi.
 
Usiwe m'binafsi hutaki ukewenza Wanawake wengi huko mtaan hawana Ndoa, na wanahitaji stara, kuliko Mume akazini huko nje na kuongeza list ya vimada si bora aoe tu apate thawabu na astiri Wanawake wenzetu,

Anaonekana ana hofu ya MUUMBA na anajilinda ndio maana ameogopa asije mtia dhima huyo atakaekua mume wake ndio maana ametaka hivi,nimemuelewa sana huyu dada

Mm ni mke wa kwanza Bahati mbaya Mume wangu ana wake wanne tayari ila MWENYEZI MUNGU atakupatia Mume mwema dear
Ukioa wake wanne ndio Guarantee wa kutofanya zinaa nje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Assalaam Alaykum!
Mm ni mwanamke wa Kiislam umri
(30),Sijawahi Kuolewa na wala sina mtoto

Nahitaji Mume Mwenye Sifa hizi:-
Awe Muislam,
Awe yuko ndani ya Ndoa tayari,
Umri kuanzia 35-50,
Awe anajiweza mwenye kipato,
Nahitaji Mume sharti awe ameshaoa nahitaji (UKEWENZA) niwe mke wa pili, watatu na wa nne kikubwa awe Muislam,Mwenye hofu ya ALLAH SWT na-Muadilifu,

N.B NAOMBA KUTILIA UZITO lazma awe ameshaoa kwasababu ya nature ya kazi yangu Safari za hapa na pale ivyo akiwa hajaoa ntamueka kwenye hatari kubwa ya UCHAFU-ZINAA kwa kuogopa dhima hiyo mbele ya ALLAH SWT ntakapokua safarini najua atakua salama katika zamu za WAKEWENZA wenzangu,

Alie serious na Mwenye sifa hizo tafadhali naomba aje (in-box),

Wabillah Tawfiq!
Una uhakika waliooa wake wawili au wanne hawachepuki kabisa?

Mwenyezi Mungu akupe hitaji la moyo.. INSHALLAH.
 
Nowadays wadada wana set standards ambazo anataka akukute nazo akizikosa tatizo linaanzia hapo. Ndoto ya kuoa tena inafifia kila uchao maana uchumi ueyumba sana
 
Back
Top Bottom