Nahitaji ndoa ya uke wenza

Nahitaji ndoa ya uke wenza

Ila haya mambo ya suffocation kila siku ni wito. Bora hao wapo 4 unapata muda wa kupumua.

Kila lenye heri mtoa mada, Mungu akupe hitaji la moyo wako.
 
Nimependa kimoja tu...una hofu na Mungu

MTU mmoja alinambia wanawake wa kiislam , ni waaminifi mnoo

Nahii NI sababu ya mkazo mzito unaopatikana ktk.malezi yao.

Huku kwetu, Dhambi inatengenezewa mazingira ya kuonekana ni nyepesi nyepesi nakitu cha kawaida.

Utapata hitaji lako mkuu
Ni kweli kabisa, wenzetu kidogo wanazingatia suala la malezi na wana mkazo na suala la umuhimu wa familia. Ndio maana ni nadra kukuta mwanaume wa kiislamu yuko 30's na hajaoa.

Katika hili nawapongeza, nilifikiri ni mimi tu ndio naliona hilo.
 
Assalaam Alaykum!
Mm ni mwanamke wa Kiislam umri
(30),Sijawahi Kuolewa na wala sina mtoto

Nahitaji Mume Mwenye Sifa hizi:-
Awe Muislam,
Awe yuko ndani ya Ndoa tayari,
Umri kuanzia 35-50,
Awe anajiweza mwenye kipato,
Nahitaji Mume sharti awe ameshaoa nahitaji (UKEWENZA) niwe mke wa pili, watatu na wa nne kikubwa awe Muislam,Mwenye hofu ya ALLAH SWT na-Muadilifu,

N.B NAOMBA KUTILIA UZITO lazma awe ameshaoa kwasababu ya nature ya kazi yangu Safari za hapa na pale ivyo akiwa hajaoa ntamueka kwenye hatari kubwa ya UCHAFU-ZINAA kwa kuogopa dhima hiyo mbele ya ALLAH SWT ntakapokua safarini najua atakua salama katika zamu za WAKEWENZA wenzangu,

Alie serious na Mwenye sifa hizo tafadhali naomba aje (in-box),

Wabillah Tawfiq!
Dah hii fursa imenipita 😂
 
Nashukuru kwa mawazo yako!
Wala siogopi hilo kwakua ALLAH SWT ndio kaamrisha, nimefanya ivo kama nilivyofafanua hapo juu mm ni mtu wa safari na sitaki kumpa dhima ya Uchafu-Zinaa ivo mda ambao niko safari anakua na WENZANGU na ata nikiwa wapili ntamruhusu aoe watatu na wanne pia as long as uwezo wa hali zote wanao
😀
 
Assalaam Alaykum!
Mm ni mwanamke wa Kiislam umri
(30),Sijawahi Kuolewa na wala sina mtoto

Nahitaji Mume Mwenye Sifa hizi:-
Awe Muislam,
Awe yuko ndani ya Ndoa tayari,
Umri kuanzia 35-50,
Awe anajiweza mwenye kipato,
Nahitaji Mume sharti awe ameshaoa nahitaji (UKEWENZA) niwe mke wa pili, watatu na wa nne kikubwa awe Muislam,Mwenye hofu ya ALLAH SWT na-Muadilifu,

N.B NAOMBA KUTILIA UZITO lazma awe ameshaoa kwasababu ya nature ya kazi yangu Safari za hapa na pale ivyo akiwa hajaoa ntamueka kwenye hatari kubwa ya UCHAFU-ZINAA kwa kuogopa dhima hiyo mbele ya ALLAH SWT ntakapokua safarini najua atakua salama katika zamu za WAKEWENZA wenzangu,

Alie serious na Mwenye sifa hizo tafadhali naomba aje (in-box),

Wabillah Tawfiq!
[/QUO

Mtamvunja mgongo 😁
 
Back
Top Bottom