Nahitaji ndoa ya uke wenza

Nahitaji ndoa ya uke wenza

Assalaam Alaykum!
Mm ni mwanamke wa Kiislam umri
(30),Sijawahi Kuolewa na wala sina mtoto

Nahitaji Mume Mwenye Sifa hizi:-
Awe Muislam,
Awe yuko ndani ya Ndoa tayari,
Umri kuanzia 35-50,
Awe anajiweza mwenye kipato,
Nahitaji Mume sharti awe ameshaoa nahitaji (UKEWENZA) niwe mke wa pili, watatu na wa nne kikubwa awe Muislam,Mwenye hofu ya ALLAH SWT na-Muadilifu,

N.B NAOMBA KUTILIA UZITO lazma awe ameshaoa kwasababu ya nature ya kazi yangu Safari za hapa na pale ivyo akiwa hajaoa ntamueka kwenye hatari kubwa ya UCHAFU-ZINAA kwa kuogopa dhima hiyo mbele ya ALLAH SWT ntakapokua safarini najua atakua salama katika zamu za WAKEWENZA wenzangu,

Alie serious na Mwenye sifa hizo tafadhali naomba aje (in-box),

Wabillah Tawfiq!
Kila la kheri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkiwa na 20s mnaringa Sana , mkianza kuifukuzia menopause vichwa vinawajaa mawazo... Hapa hupati mtu Ni kupigwa Mambo Hadi uchakae na kuzalishwa juu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom