Nahitaji neno la wadada wote wa JF kwenye hili... Hata wanaume semeni pia!

Nahitaji neno la wadada wote wa JF kwenye hili... Hata wanaume semeni pia!

Umenena mkuu...

Kweli kabsa mume wake atapata sababu ,atajitetea kuwa aliona mdogo wake amabaye ni shem yake Amina alikua ana uhudiano ndo maana alimtekeleza na jamii ikiangalia kweli shem alikua anahudumia ,hapo avute subira atapata mtu atakayempenda na kumjali aachane na kumfeel shem wake
 
Mtaishia kwenye uroda tu! Kuoana hakuta dumu!!

Afadhali apate tu huo uroda kama hana fealings na mumewe asije akachanganyikiwa bure, kwani hata mumewe si alikuwa anapata tu uroda uko nje.
 
Ayaaaaaaaaaaaa yaani bidada anataka kutoa mautamu kwa shemeji yake.......................Of coz kama yuko selfish kihivyo ampe tu mautamu, kwa sababu kama huyo kaka mtu atajua na atajua tu basi ujue lazima wavurugane na dogo wake. Acheni kabisa hizi habari eti ajibebee tu hahaha aaah wapi. Kama walivyosema wengine waliotangulia ni kuwa hiyo hali ya mapenzi inatokana na ma-care tu aliyopata kutoka kwa dogo otherwise hamna kitu hapo.
 
Mi nadhani heshima,upendo na mahusiano yataimarika nakudumu zaidi iwapo hawatakuwa kwenye mahusiano yakimapenzi kwasababu hakuna anayejua kitakachotokea huko mbele baina yao,kwahiyo basi ni bora avute subira nakuachana na illusions za kwamba siku moja atakuwa na huyo shemeji ingawa nakubaliana kabisa na yeye ya kwamba amefall kwa huyu shemeji yake coz naamini kwamba mazingira ndo yanamfanya mtu ampende fulani.
 
Jamani mbona wakinadada mnajiaminisha sana kwetu!?Mi nadhani kuliko kuendelea kuumia bora amwambie huyo shemeji yake kuwa anampenda!Na shemeji kwa busara zake atamkataa kistaarabu(kwani c lazma dada akikwambia anakupenda ukubali).baada ya hapo dada atatulia.But akikaa kimya asimwambie kitu na shemeji anaendelea kumtembelea nyumbani kwake oneday(watasema shetani katupitia).Pole sana dadangu

Weeeee! Wanaume wengi ni dhaifu wakitongozwa na wadada, Amina akiropoka tu, shemeji kanaswa. Shemeji kama unasoma au umeanzisha hii thread tafadhal mkwepe Amina, utabomoa familia yenu coz sidhan kama inakubalika kwa mila na desturi za Kiafrika, hatujawa wadhung bado!
 
Back
Top Bottom