Nahitaji nyama ya panya Arusha!

Nahitaji nyama ya panya Arusha!

Kuna stoo ya mahindi huwa tunawaua kwa sumu wengi tu we nielekeze uko wapi nikuletee mmoja ntakuuzia elfu 3 uhakika wa kupata watano kila baada ya siku mbili upo
 
Kuna stoo ya mahindi huwa tunawaua kwa sumu wengi tu we nielekeze uko wapi nikuletee mmoja ntakuuzia elfu 3 uhakika wa kupata watano kila baada ya siku mbili upo
Mmh! Sa Mkuu hiyo sumu haitakuwa na madhara kwa walaji?
 
Panya buku au panya road unataka wapi mkuu 😃😃😃
 
Waliochinjwa na kuchunwa tu. Wawekwe kwenye friji/barafu na kutumwa kwangu. Kama unaweza nipe bei kwa kilo.
Hii comment Nimeona unaleta utani. Unatuchora.

Katika maandalizi ya panya kwanza hachinjwi kama kuku Wala kutolewa ngozi kwa sababu ngozi yake ni nyepesi kama karatasi.

Hatua za maandalizi ya panya anayeliwa(panya wa porini/mwituni Wala nafaka za shambani)

1.Panya(wa porini anayeliwa) akishachimbwa kwenye shimo wanamojificha hubanikwa kwenye moto ili kutoa manyoya,kisha baada ya manyoya yote kufungua anabakiwa na ngozi nyeupe.

2.baada ya kuandaliwa vizuri wanawwkqa kwenye kijiti kirefu mfano wa mshikaji kisha unawaweka kwenye makaa ya moto mithili kambale au nyama pori anavyobanikwa.

3. Wakishakuwa tayari wanatolewa kwenye vijiti na kufungwa mafungu tayari kwa kwenda kuuzwa au matumizi ya nyumbani.

Hapa Kuna wanaolumagia au Kuna wanaotoka kitu cha rosti. Rosti ni tamu zaidi.

NB: panya hawatengenezwi mchuzi,wanarostowa kama maini na ni wazuri kwa matumizi ya ugali tu.

Kingine ni kuwa,panya anayeliwa ni wa porini tu. Siyo Hawa wa nyumbani wachafu wachafu wanuka Moshi na Wala ugali.

Kiafya nyama ya panya Ina virutubisho vingi kuliko nyama nyingi sana. Na siku ukionja kula panya hakika huwezi kuacha kula Kamwe.
 
Najua inaweza kuwa kama kichekesho lakini najua sehemu nyingi za Tanzania hasa mikoa ya kusini nyama ya panya ni kitoweo kituzi tu.

Kwa yeyote anayeweza kunipatia kunipatia uhakika wa kuleta kitoweo hicho Arusha tuwasiliane kwa Whatsapp 06563888678 au meseji 0789904445.

Tafadhali uwe na uhakika wa kuwa nacho katika ubora tangu maandalizi yake mpaka kukisafirisha na kifike kikiwa fresh.

Bei tutaongea au unaweza pia kujibu kwenye thread hii.
Mmemaliza paka na mbwa, sasa mnaamia kwenye panya!! Walevi wa baa kazi wanayo.
 
Najua inaweza kuwa kama kichekesho lakini najua sehemu nyingi za Tanzania hasa mikoa ya kusini nyama ya panya ni kitoweo kituzi tu.

Kwa yeyote anayeweza kunipatia kunipatia uhakika wa kuleta kitoweo hicho Arusha tuwasiliane kwa Whatsapp 06563888678 au meseji 0789904445.

Tafadhali uwe na uhakika wa kuwa nacho katika ubora tangu maandalizi yake mpaka kukisafirisha na kifike kikiwa fresh.

Bei tutaongea au unaweza pia kujibu kwenye thre
Mkuu kama Iko serious nikiagizie, niko Arusha pia
 
Back
Top Bottom