Nahitaji nyama ya panya Arusha!

Nahitaji nyama ya panya Arusha!

Hii comment Nimeona unaleta utani. Unatuchora.

Katika maandalizi ya panya kwanza hachinjwi kama kuku Wala kutolewa ngozi kwa sababu ngozi yake ni nyepesi kama karatasi.

Hatua za maandalizi ya panya anayeliwa(panya wa porini/mwituni Wala nafaka za shambani)

1.Panya(wa porini anayeliwa) akishachimbwa kwenye shimo wanamojificha hubanikwa kwenye moto ili kutoa manyoya,kisha baada ya manyoya yote kufungua anabakiwa na ngozi nyeupe.

2.baada ya kuandaliwa vizuri wanawwkqa kwenye kijiti kirefu mfano wa mshikaji kisha unawaweka kwenye makaa ya moto mithili kambale au nyama pori anavyobanikwa.

3. Wakishakuwa tayari wanatolewa kwenye vijiti na kufungwa mafungu tayari kwa kwenda kuuzwa au matumizi ya nyumbani.

Hapa Kuna wanaolumagia au Kuna wanaotoka kitu cha rosti. Rosti ni tamu zaidi.

NB: panya hawatengenezwi mchuzi,wanarostowa kama maini na ni wazuri kwa matumizi ya ugali tu.

Kingine ni kuwa,panya anayeliwa ni wa porini tu. Siyo Hawa wa nyumbani wachafu wachafu wanuka Moshi na Wala ugali.

Kiafya nyama ya panya Ina virutubisho vingi kuliko nyama nyingi sana. Na siku ukionja kula panya hakika huwezi kuacha kula Kamwe.
shukran kwa maelezo mazuri. Kama unaweza kunipatia tuongee bei.
 
Mkuu njoo nakapanya mtwara upate Nyama za kutosha (natania tu 🤣)
 
kuna mkurya alikua anafuga panya mende nyoka. alikua ana export. yule jamaa alikua bandidu. nasikia alishafariki na business ikafa watoto wakachoma moto biashara in the name of dini inakataza
 
Back
Top Bottom