Mkereketwa wa NAZI
JF-Expert Member
- Oct 29, 2022
- 1,048
- 2,449
Me nauza kilo 20
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Au pusiNaona unamkakati wa kuwa NYAU!!!
shukran kwa maelezo mazuri. Kama unaweza kunipatia tuongee bei.Hii comment Nimeona unaleta utani. Unatuchora.
Katika maandalizi ya panya kwanza hachinjwi kama kuku Wala kutolewa ngozi kwa sababu ngozi yake ni nyepesi kama karatasi.
Hatua za maandalizi ya panya anayeliwa(panya wa porini/mwituni Wala nafaka za shambani)
1.Panya(wa porini anayeliwa) akishachimbwa kwenye shimo wanamojificha hubanikwa kwenye moto ili kutoa manyoya,kisha baada ya manyoya yote kufungua anabakiwa na ngozi nyeupe.
2.baada ya kuandaliwa vizuri wanawwkqa kwenye kijiti kirefu mfano wa mshikaji kisha unawaweka kwenye makaa ya moto mithili kambale au nyama pori anavyobanikwa.
3. Wakishakuwa tayari wanatolewa kwenye vijiti na kufungwa mafungu tayari kwa kwenda kuuzwa au matumizi ya nyumbani.
Hapa Kuna wanaolumagia au Kuna wanaotoka kitu cha rosti. Rosti ni tamu zaidi.
NB: panya hawatengenezwi mchuzi,wanarostowa kama maini na ni wazuri kwa matumizi ya ugali tu.
Kingine ni kuwa,panya anayeliwa ni wa porini tu. Siyo Hawa wa nyumbani wachafu wachafu wanuka Moshi na Wala ugali.
Kiafya nyama ya panya Ina virutubisho vingi kuliko nyama nyingi sana. Na siku ukionja kula panya hakika huwezi kuacha kula Kamwe.
Nipe beiMkuu kama Iko serious nikiagizie, niko Arusha pia
una kilo ishirini au unauza kwa shilingi ishirini? Sijakuelewa!Me nauza kilo 20
wapi?MLA PANYA SWANGA
Njoo huku
Nauza mmoja elfu 20una kilo ishirini au unauza kwa shilingi ishirini? Sijakuelewa!
Nina zaidi ya miaka 20 sijaona panya uso kwa macho.Unaweza kutuma