Nahitaji Nyumba ya kununua iwe mabibo mwisho

Nahitaji Nyumba ya kununua iwe mabibo mwisho

Mamujay

Senior Member
Joined
Dec 24, 2022
Posts
149
Reaction score
345
Kama nilivyo sema ninahitaji nyumba ya kununua mabibo ofa yangu mil 20 madalali wekeni picha msilete biashara za kufatana inbox
 
Kama nilivyo sema ninahitaji nyumba ya kununua mabibo ofa yangu mil 20 madalali wekeni picha msilete biashara za kufatana inbox
Ungesema unahitaji banda au pagala lakini siyo nyumba kwa million 20 Mabibo.

Nenda Chanika au chamanzi ndio kuna nyumba za million 20.
 
Back
Top Bottom