Mamujay Senior Member Joined Dec 24, 2022 Posts 149 Reaction score 345 Aug 20, 2023 #1 Kama nilivyo sema ninahitaji nyumba ya kununua mabibo ofa yangu mil 20 madalali wekeni picha msilete biashara za kufatana inbox
Kama nilivyo sema ninahitaji nyumba ya kununua mabibo ofa yangu mil 20 madalali wekeni picha msilete biashara za kufatana inbox
Dr Matola PhD JF-Expert Member Joined Oct 18, 2010 Posts 60,050 Reaction score 104,466 Aug 20, 2023 #2 Mamujay said: Kama nilivyo sema ninahitaji nyumba ya kununua mabibo ofa yangu mil 20 madalali wekeni picha msilete biashara za kufatana inbox Click to expand... Ungesema unahitaji banda au pagala lakini siyo nyumba kwa million 20 Mabibo. Nenda Chanika au chamanzi ndio kuna nyumba za million 20.
Mamujay said: Kama nilivyo sema ninahitaji nyumba ya kununua mabibo ofa yangu mil 20 madalali wekeni picha msilete biashara za kufatana inbox Click to expand... Ungesema unahitaji banda au pagala lakini siyo nyumba kwa million 20 Mabibo. Nenda Chanika au chamanzi ndio kuna nyumba za million 20.
Sa 7 mchana JF-Expert Member Joined Dec 30, 2018 Posts 5,214 Reaction score 10,276 Aug 20, 2023 #3 20m bei ya kiwanja