Haha 😀
Mkuu achana kabisa na paka mweusi yupo huyu mweupe peeee kwa wewe 3500 mkuuSimtaki.mweusi na sio wa kulogea[emoji23][emoji23]
Hongeza pesa kdogoNipo kigamboni nahitaji paka mdogo nimfuge awe mdogo kabisa maana wakishakuwa shume wanatoroka nalipa sh 20,000 garama ya delivery juu yangu nipo kibada kigamboni
Tuma picha yake 0678096545
Hahahahaha aisee nimecheka sana.
Ngoja nimlete jirani yangu hapa maana usiku anakuwaga pakaHongeza pesa kdogo
Huyu hana kipengere 😆
Jf kuna raha sana
Usipowapenda wanyama wengine wewe ndio una shida sehemu..Hivi kuna watu wanapenda paka aisee huwa nakeleka sana ninapoagiza mbuzi choma alafu chini ya meza kuna paka wa mtu