granitized
JF-Expert Member
- Jul 5, 2016
- 4,869
- 11,356
yule uliyetoaga ofa ya 35k amekufa au?
Huyu atakuwa na ""special"" kazi nao huyu ponjoro wa kinondoni 🤣🤣🤣🤣yule uliyetoaga ofa ya 35k amekufa au?
Ukiwa na paka basi huna nyoka , huna panyaNipo kigamboni nahitaji paka mdogo nimfuge awe mdogo kabisa maana wakishakuwa shume wanatoroka nalipa sh 20,000 garama ya delivery juu yangu nipo kibada kigamboni
Tuma picha yake 0678096545
Huu msamiat wa ponjoro umenipita, nausoma tu, embu nidadavulie manka.Huyu atakuwa na ""special"" kazi nao huyu ponjoro wa kinondoni
Dah ww jamaa fala sana 😂
Huu ni wa gwajima leo kanisani kwake😁😁Huu msamiat wa ponjoro umenipita, nausoma tu, embu nidadavulie manka.
kwa hyo ponjoro ni yule mwendesha kamari au?Huu ni wa gwajima leo kanisani kwake
Si ndiokwa hyo ponjoro ni yule mwendesha kamari au?
Utaletewa hata wa kichawiNipo kigamboni nahitaji paka mdogo nimfuge awe mdogo kabisa maana wakishakuwa shume wanatoroka nalipa sh 20,000 garama ya delivery juu yangu nipo kibada kigamboni
Tuma picha yake 0678096545
Tulimchinja, tukampika supu na kuwauzia walevi kama nyama ya simbilisi.yule uliyetoaga ofa ya 35k amekufa au?