Nahitaji paka mdogo wa kufuga 20,000 nalipa na Delivery juu yangu nipo Dar

Nipo kigamboni nahitaji paka mdogo nimfuge awe mdogo kabisa maana wakishakuwa shume wanatoroka nalipa sh 20,000 garama ya delivery juu yangu nipo kibada kigamboni

Tuma picha yake 0678096545
Hongeza pesa kdogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…