Nahitaji papaa wa kunilea......!

Nahitaji papaa wa kunilea......!

Nakushauri papaa la kichagga sio la kulea ni la kukunyweshwa bia na nyama choma

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Khaa..! Sielewi hapa.

Wewe ndio unamahitaji halafu wewe ndio una masharti.

Wewe si ndio unataka mtu wa kukulea? Sasa kwa nini mkunaji ndio niwekewe masharti wakati wewe ndio unawashwa?

akuuu kisa nahitaji ndo aje yeyote???
no pliz vigezo na mashart kuzingatiwa!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom