Nahitaji papaa wa kunilea......!

Nahitaji papaa wa kunilea......!

Evelyn Salt

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2012
Posts
70,916
Reaction score
141,437
Sifa nnazohitaji:

Umri 40+
awe mfanyabiashara kama ni muajiriwa iwe kazi ya kueleweka
kama ni MBA poa tu (simaanishi masters).
mrefu ili niwe comfortable hata kutembea nae njiani,
akiwa mfupi sawa ila ndo tutakuwa tunatembea kama bata mi mbele ye nyuma!!!!!
sura si kigezo, mwanaume hasifiwi sura
sijaweka sifa nyingi kwani mie sihitaji ndoa....

Pm zitajibiwa kasoro za ID mpya make najua ni wazinguaji
vema ukitumia ID ya siku zote ili iwe rahisi kwangu kujua we ni mtu wa aina gani
na interest zetu kama zinaendana

wadandiaji, washauri na wahubiri siwataki hapa ni love connect!!!!!
 
wanawake wanalea serengeti boys
mie serengeti girl hawawezi!!!!!!!
Haya mkubwa mwenzako nimejitokeza tena leo niko safarini na niko Hotel muda huu nimelala miguu miwili tu, imenikeraje?

Nashut down computer yangu majibu yako nitayakuta kesho usiku inbox, maana during the day nitakuwa nadrive kufika kule ninakokwenda.

Alamsiki.
 
Back
Top Bottom