Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijui hata nishauri nini...Je una experience yoyote ya biashara mpaka uwe na uhakika kwamba hiyo milioni 68 itarudi? Je umewahi kufanya biashara hata ya milioni tu? Milioni 68 ni hela mingi sana kuitumbukiza kwa mtu ambaye ni novice.Ndugu zangu Naja kwenu
Nashida na M 68
Jaman Naitaji kufanya Biashara ya Pub Maeneo ya Kigambon
Nimeshapata eneo Lipo Sehem nzur tuu kwa Biashara iyo
Na uwakika Ndan Ya Miaka 4 nitakuwa nimesharejesha Hicho kias ambacho Atakuwa Amenikopesha uyo mtu
Iyo Ela Ni Pamoja Na kununua ilo Eneo Na Ujenz Wa Pub
Nipo Seriuos Jaman Naitaji kuwekeza Huko
Au Kama Kuna mtu Anaitaji ku share Zis Business Aje Pm
Shukran Ndugu Zangu
HIVI MAISHA NDO YAMEKUCHANGANYA AU NDIO VICHAA TUNAOAMBIWA! MAISHA YANGEKUWA RAHISI KAMA ULIVYOSEMA BASI WOTE WANGEFANYA; HATA BENK HUTAPATA, KWANZA BENK HAWAKOPESHI MTU UKAANZE BIASHARA!
JIULIZE.
Biashara yenyewe ya pub ni Haram! Yaan huna mtaji, huna eneo huna Vifaa! Halafu unakuja humu! Au hiyo ni ndonto umeiota mchana huu?
Hahahahaha,utafiti unatoa majibuHIVI MAISHA NDO YAMEKUCHANGANYA AU NDIO VICHAA TUNAOAMBIWA! MAISHA YANGEKUWA RAHISI KAMA ULIVYOSEMA BASI WOTE WANGEFANYA; HATA BENK HUTAPATA, KWANZA BENK HAWAKOPESHI MTU UKAANZE BIASHARA!
JIULIZE.
Biashara yenyewe ya pub ni Haram! Yaan huna mtaji, huna eneo huna Vifaa! Halafu unakuja humu! Au hiyo ni ndonto umeiota mchana huu?
Ndg yangu ijapo umeandika kifupi nimeipenda. Kunakitu nnataka nijifunze kutoka kwako.weka taarifa zote hapa, 68 mln , 4 years, Dhamana ya mkopo, je utamudu riba kiasi ? na marejesho @ mwezi kiasi gani ? km utaweza sh 2,750,000= mwezi x miezi 48 karibu sana na uwe na dhamana ya 100 mln
Kwamba mkipimwa afya ya akili kila kwenye 10, basi 4 ni vichaa kabisa yaani wehu! Teh teh teh.Kitu kip icho...??
Point Nzur thana kuna kitu nimejifunza ShukranLabda tuliangalie kwa mapana.
Biashara haramu Tanzania hazilipiwi kodi ni "criminal".
Pub anayodai yeye ni halali kwasbb biashara hiyo inalipia kodi.
Labda ninachokiangalia mimi jinsi alivyorusha jiwe gizani!
Tulichotakiwa kama wanajamvi, tusimpatie samaki(pesa/mtaji) bali tumpatie nyavu za kuvulia (mbinu) ingemsaidia sana "kutoka".
Lakini mtu "from no where" muanze kuchangishana sijui ku-share, kwa watu msiofahamiana, mwisho wake mara nyingi huwa ni mbaya.
Na kinachokosesha imani watu ni huu utapeli ulioenea kila sehemu, ambapo maeneo memgine hauwezi kudhania.
Pesa ilivyokuwa ngumu, watu wanapiga pesa kwa kila aina ya ujanja,bila hata kumuogopa Mungu.
Hata mkiwa mnafahamiana biashara nzuri ni ile ya kusimama mwenyewe.
Utakuta hakuna lawama ama kutegeana na ikikuendea vibaya unakufa na tai yako shingoni.
Ile ya watu wa 4??Huwa napingana sana na tafiti nyingi za hapa nyumbani ila huu Wa juzi juzi naanza kuamini kuna kitu