concordile 101
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 3,379
- 6,624
Mil 68 ? Unadhan hela inaokotwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahaWe na wewe ndo wale wale tu, njaa njaa na ujanja ujanja.
Yani kila mwezi sh 2.75M x 48 ni 132M hiyo afu kakopa 68M.
Sasa mtu akope 68M arudishe 132M huoni kama una upunguani kichwani mwako?
Sasa riba ya jamaa ni karibia 100%Riba za benk ni zaidi ya 50%
HaahahahaWe na wewe ndo wale wale tu, njaa njaa na ujanja ujanja.
Yani kila mwezi sh 2.75M x 48 ni 132M hiyo afu kakopa 68M.
Sasa mtu akope 68M arudishe 132M huoni kama una upunguani kichwani mwako?
Alimchagua magufuri!Mimi nitakupa hiyo pesa bila masharti endapo tu utaniambia ulimchagua nani awe Rais, uchaguzi uliopita?
Umenyumbua vizuri sanaaa mkuuMfano riba ya chini kabisa 40%.
68m + 27.2m = 95m.
95m ÷ siku 1460= 65,000 shs kwa siku.
Lets assume kama bia moja faida ni shs 300.
Una wafanyakazi wa 4 uwalipe 5000 kwa siku ambayo ni 20,000. Luku 20,000.
Tuchukulie kama gharama ni hizo tu.
105,000 gharama ÷ 300 faida ya chupa = 350 ÷ 24 chupa kwenye crate. Kwa hiyo unatakuwa uuze crate 14.5 kila siku ili uweze kulipa deni la watu.
Hayo ni makadirio tu.
Umenyumbua vizuri sanaaa mkuu