Pesambili87
Member
- Nov 8, 2022
- 6
- 15
Habari gani wanazengo? Nahitaji Plot safi maeneo ya Moshono, Arusha.
Mwenyenacho, tafadhali tutafutane.
- Budget yangu TZS 7,000,000/= mpaka 9,000,000/=
- Kati ya Sqm 450 na 600sqm
- Kisiwe mbali na Lami.
- Iwe imepimwa safi kabisa.
Mwenyenacho, tafadhali tutafutane.