P Pesambili87 Member Joined Nov 8, 2022 Posts 6 Reaction score 15 Nov 12, 2022 #1 Habari gani wanazengo? Nahitaji Plot safi maeneo ya Moshono, Arusha. Budget yangu TZS 7,000,000/= mpaka 9,000,000/= Kati ya Sqm 450 na 600sqm Kisiwe mbali na Lami. Iwe imepimwa safi kabisa. Mwenyenacho, tafadhali tutafutane.
Habari gani wanazengo? Nahitaji Plot safi maeneo ya Moshono, Arusha. Budget yangu TZS 7,000,000/= mpaka 9,000,000/= Kati ya Sqm 450 na 600sqm Kisiwe mbali na Lami. Iwe imepimwa safi kabisa. Mwenyenacho, tafadhali tutafutane.
Ndechumia JF-Expert Member Joined Jul 15, 2011 Posts 1,164 Reaction score 573 Nov 13, 2022 #2 Kipo Moshono kona ya kiserian, umbali wa kama 2km kutoka barabara ya Moshono Chekereni. Size 20x20=400msq. Bei ni 12M. Ni squater, eneo halijapimwa.
Kipo Moshono kona ya kiserian, umbali wa kama 2km kutoka barabara ya Moshono Chekereni. Size 20x20=400msq. Bei ni 12M. Ni squater, eneo halijapimwa.