Nahitaji Porte nina milioni 5

Honhera sana..... Mtu ukituliza kichwa, magari yapo mazuri tu kwa bei ya kutupa...

Vipi lakini ukiendesha haina majanga majanga..?
Haina janga loloteee , imeendeshwa dar mpk kigoma , imetumia mafuta ya kawaida na nipo nayo tu , gari zipo ni swala la kutulia ,
 
Mwache labda shida yake ni plate namba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…