franktemu123
JF-Expert Member
- Mar 3, 2011
- 1,406
- 1,475
Bajaj 8m TZS. Sasa unaota Porte kwa 5m TZS?Ukienda show room unapata Porte Kwa milion 12 - 13.5 sasa Kwa bei ya milion 5 sidhani kama utapata alafu namba D?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bajaj 8m TZS. Sasa unaota Porte kwa 5m TZS?Ukienda show room unapata Porte Kwa milion 12 - 13.5 sasa Kwa bei ya milion 5 sidhani kama utapata alafu namba D?
nilipata aisee kwa 5.2 mzeeBajaj 8m TZS. Sasa unaota Porte kwa 5m TZS?
Honhera sana..... Mtu ukituliza kichwa, magari yapo mazuri tu kwa bei ya kutupa...nilipata aisee kwa 5.2 mzee
Hii ina cc ngap?nilipata aisee kwa 5.2 mzee
Haina janga loloteee , imeendeshwa dar mpk kigoma , imetumia mafuta ya kawaida na nipo nayo tu , gari zipo ni swala la kutulia ,Honhera sana..... Mtu ukituliza kichwa, magari yapo mazuri tu kwa bei ya kutupa...
Vipi lakini ukiendesha haina majanga majanga..?
1490 mzee engine kubwa ya porte iko vizuri sanaHii ina cc ngap?
Ooh! Hongera kamanda1490 mzee engine kubwa ya porte iko vizuri sana
Mnapigwa sana kwa kweliUkienda show room unapata Porte Kwa milion 12 - 13.5 sasa Kwa bei ya milion 5 sidhani kama utapata alafu namba D?
Mwache labda shida yake ni plate nambaAnapata bila shida. .zile gari hazina best resale value ukilinganisha na IST au Raum..
Na isitoshe namba D si tatizo...Unaweza ukapata Namba D imechoka na mwingine akawa na namba C imetunzwa vuri sana...
Kwa hiyo mleta mada nakushauri usiegemee kwenye namba D...utapigwa...tafuta namba Yoyote B, C au D yenye hali nzuri kulingana na bajeti yako....japo sina uhakika sana kama porte zipo za namba B
Sent using Jamii Forums mobile app
Haina janga loloteee , imeendeshwa dar mpk kigoma , imetumia mafuta ya kawaida na nipo nayo tu , gari zipo ni swala la kutulia ,
Asante sana kamandaOoh! Hongera kamanda
Dar mpk kibondo kupitia kahama mafuta ya 180,000/=Ulitumia mafuta ya sh ngapi mkuu??
Nlishapata gar kali tu namba DMwache labda shida yake ni plate namba
Dar mpk kibondo kupitia kahama mafuta ya 180,000/=