Nahitaji Porte nina milioni 5

Nahitaji Porte nina milioni 5

Attachments

  • 20200528_155940.jpg
    20200528_155940.jpg
    387.6 KB · Views: 2
Honhera sana..... Mtu ukituliza kichwa, magari yapo mazuri tu kwa bei ya kutupa...

Vipi lakini ukiendesha haina majanga majanga..?
Haina janga loloteee , imeendeshwa dar mpk kigoma , imetumia mafuta ya kawaida na nipo nayo tu , gari zipo ni swala la kutulia ,
 
Anapata bila shida. .zile gari hazina best resale value ukilinganisha na IST au Raum..
Na isitoshe namba D si tatizo...Unaweza ukapata Namba D imechoka na mwingine akawa na namba C imetunzwa vuri sana...
Kwa hiyo mleta mada nakushauri usiegemee kwenye namba D...utapigwa...tafuta namba Yoyote B, C au D yenye hali nzuri kulingana na bajeti yako....japo sina uhakika sana kama porte zipo za namba B

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwache labda shida yake ni plate namba
 
Back
Top Bottom