Rurakha
Senior Member
- Oct 20, 2019
- 122
- 224
Habari mimi ni wakala nahitaji mwenye machine ya uwakala ya NMB aliepo dar es salaam offer ni 700k kununua na kama mtu anayo basi niko tayari anikodishe ntampa 30% ya kamisheni itakayopatikana taratibu za kisheria za makabidhiano zitazingatiwa nakaribisha pm