Awa jamaa wanazingua sana naona wanataka biashara ya uwakala ife tofauti na hapo sijui nani alishauri ili jambo, kwa watanzania walivyo kumshawishi mtu kutoa kwa simu anaona kama unataka kumwibia kingine mpaka uwe na Tsh Mia hapo ndio mteja anachanganyikiwa na kuondoka zake