Car4Sale Nahitaji Premio New Model

Wandugu wa JF ninahitaji kununua Premio New Model no D. Iwe na CC 1500. Bei isizidi Million 9. Tafadhali nitumie msg kwenye PM kama una gari ya aina hiyo na ipo kwenye hali nzuri
Kwa bei hiyo subili wakuletee zile wanatoa wanakozitoa na kukubambikia namba uhangaike na kamanda sirro
 
Ukifuata comments za humu ndani unaweza shindwa kununua unachotaka. Ila ndani ya hawa hawa watoa comments wapo walio serious na biashara na vitu vinauzika na kununulika. Just read between comments
 
Wandugu wa JF ninahitaji kununua Premio New Model no D. Iwe na CC 1500. Bei isizidi Million 9. Tafadhali nitumie msg kwenye PM kama una gari ya aina hiyo na ipo kwenye hali nzuri
Ukiipata kwa specification hizo mshukuru Mungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…