relis
JF-Expert Member
- May 24, 2015
- 3,336
- 5,217
Kwa bei hiyo subili wakuletee zile wanatoa wanakozitoa na kukubambikia namba uhangaike na kamanda sirroWandugu wa JF ninahitaji kununua Premio New Model no D. Iwe na CC 1500. Bei isizidi Million 9. Tafadhali nitumie msg kwenye PM kama una gari ya aina hiyo na ipo kwenye hali nzuri