Nahitaji program ya biashara. Software

Nahitaji program ya biashara. Software

Habari

Nina kabiashara kangu ..ningependa nipate software ambayo itanisaidia biashara yangu kusambaza, kurecord kutrack ambao nowadai(madeni) kupiga haasara na Friday. Bajeti yangu ni 50k
Kwa kuanzia tumia Excel,ni software km ulivyokua olevel or shule za msingi unaweka swali/kazi/jibu nayo inavijumba tayari kwenye computer wewe kazi yako kupangilia kwa kadri unavyotaka
 
Back
Top Bottom